mustapha ameeleza kuwa lengo la kuanzisha blog hiyo ni kuusamba mziki huo singeli manyota tanzania na ulimwenguni kote kupitia njia ya mtandao.
"nataka watanzania waanze kuburudika na mziki wa mtaani kupitia mtndao,hivyo singeli manyota+255 itakuwa na jukumu la kuusambaza mziki huo mtandao na kuwajuza watanzania habari mbalimbali za wasanii hao"alisema mustapha